Nyumba inauzwa na ina hati

Nyumba inauzwa na ina hati

kaka kama unaitaji kweli naomba ulipe tsh 80 MILION UJE UKAGUE KADI NA NYUMBA YENYEWE UONE HALI HALISI YA NYUMBA HUSIKA

Mkuu Disailly, kwa 80m bado ni bei kubwa. Mshauri mwenye nyumba afanye kupunguza zaidi. Si unajua tena kule ni mbali mkuu. Hata kama kiwanza ni kikubwa but pia tunaangalia mambo mengi wakati wa kununua property kama hii.
 
kwani wewe bei yako mwisho ni tsh ngapi lakini si hiyo hamsini mil
 
nyumba inauzwa kongowe ina vyumba vitatu vya kulala na sting room danning room master room stoo jiko na ina eneo la ekari moja na limepimwa na lina hati miliki ni nyumba ya ukweli ina umeme na maji kwa mawasiliano piga simu namba 0754286329 Na 0714973871
Mkuu ipo mil.55 kama uko tayari ni pm tufanye biashara.
 
kwani wewe bei yako mwisho ni tsh ngapi lakini si hiyo hamsini mil
Kwa umbali ule niko tayari kutoa 50m cash. Unajua kuna wakati unaweza kuweka property hasa nyumba ambayo ni nzuri lakini kwa mazingira ya eneo ukashindwa kuiuza. Kwa mfano nyumba hii ingekuwa DSM maeneo ya Mwenge au Kijotonyama na kiwanja unasema ni kama ekari moja ungeuza kwa over 500m. Kwa Kibaha Kongowe, nakumbia utakaa nayo sana na mwishowe utaendelea kuwa gofu kama hakuna mkazi na bei itaendelea kushuka. Kama uko tayari tukaione maana hata hii 50m nimesema tu maana sijaona mazingira ya nyumba yenyewe. Majirani, huduma muhimu, kufikika, n,k navyo vinahusika sana katika kuuza au kununua nyumba hii mkuu.
 
Picha za ndani hukupata mkuu? Maana tunaona picha za mbele ya nyumba tu. Je mwenye nyumba ameshahama au bado yupo?
 
Milioni 90 kongowe kibaha?? Haki ya nani!! Nina uelewa sana wa maeneo yale na bei za mashamba/viwanja/nyumba nafahamu sana!! Labda hii itakuwa ya aina yake!! weka picha na sifa nyingine za nyumba kama maji, umeme, fenced, n.k.

Huu Mshangao wa kwanza, Nilidhani unamaanisha Bei ni NDOGO....

Mkuu Disailly, kwa 80m bado ni bei kubwa. Mshauri mwenye nyumba afanye kupunguza zaidi. Si unajua tena kule ni mbali mkuu. Hata kama kiwanza ni kikubwa but pia tunaangalia mambo mengi wakati wa kununua property kama hii.

Hapa naona unataka kupunguziwa chini ya mil80??? Sasa Which is Which... Kibaha mbali na wapi? Kama Mtu anaishi Kibaha je? Na kama Mtu anayenunua Hana Mpango wa kuishi ndani ya hiyo Nyumba?

Location Matters lakini hapa naona unaplay very unfair....
 
Ushauri kwa Muuzaji:
Nyumba ni Mali, na Ardhi yenye Hati ikiwa na nyumba juu yake ni Mali zaidi... Ukienda Manispaa ya kibaha utapata Mthamini Wa Ardhi na Makazi, atakuja kwenye nyumba yako na kukupa estimates za thamani ya nyumba kutokana na gharama ya soko ya sasa... usikurupuke kuuza kwakuwa una shida au "unahama mji"... Kwa mtazamo wangu... Nyumba Ina thamani ya zaidi ya Mil 150 kwa sasa....Heka Moja kubaha, kwa umbali uliotaja kutoka barabara kuu ya lami, Ni bei ndefu sana...

Mwaka jana nilikuja Kibaha kununua viwanja vya manispaa, Square Meter Moja tuliuziwa Sh 7890.... Ukizidisha mara 4046.86 = 31,929,725....Kwahiyo Eneo Lako tu Kwa bei ya mwaka jana lina thamani ya Mil 31 na Ushee...Usisikilize watu bila kufanya utafiti.... Utakuja kujuta maisha yako yote... Na Usidhani Hizo Mil 90 ni pesa Nyiiingi......(unless wewe ni dalali, and your concern is just to make something out of this sale despite the circumstance...)

Ni Bora Uigeuze Nyumba ya Kupanga au Lodge, au kodisha mtu atakayeitumia hiyo nyumba kibiashara utapata hiyo hela in some few years...
 
Tumekupata mkuu, ni kweli kibaha bei uliyosema kwa sq meter ili-apply ila jua si maneo yote. Kongowe to Mlandizi bei ya sq mete ni around 4,000 na kidogo (kuna wanauza nafikiri ni kama 4,600 or so kwa sq meter). Ngoja wanunuzi waje!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nyumba imetangazwa huku kupata wanunuzi wote locally and international kama wapo watz. Kwa mantiki hiyo mtu anaposema ni mbali anafikiria mengi, not necessarily a buyer should come from Kibaha. Na kwa bei ulizomshauri kuwa pengine it worth, 150m ni kweli kama ingekuwa nje ya Kongowe Kibaha. Cha msingi mwachie mwenye nyumba au dalali wake aliyeweka tangazo hapa atafikia bei ya mwisho na mteja mwenye interest and not necessarily influenced by you. Thanks. Ngoja sisi tuendelee kuongea biashara naye hata akiuza mil 5 ni juu yake kwa kuwa ni mali yake.
 
Nimekuelewa Ndugu, Nilichofanya mimi ni kumpa mtazamo wa kibiashara zaidi na si wa "Ki-Kutatua shida za sasa". Sina Influence yeyote wala personal interest kwenye biashara yake.... I was just being a concerned citizen.....
Yes, Hapa ni soko huria na halichagui mkazi au uraia wa mnunuzi.... With that being said, I meant Kibaha Sio mbali (per-se)...Inategemea mnunuzi anatoka wapi na ana mipango gani na hiyo nyumba baada ya kuinunua... Sio kwakuwa watu wa dar wanaona ni mbali kuishi na kuja kazini kila siku posta nk... basi ndio wa Low-ball..... He/She should stick to his final price.... and not make a desperate selling decision. Thamani ya Nyumba haiangaliwi na tabia za mnunuzi wala sababu zake za manunuzi.... Zinakuwa determined na so many factors, location being one of them... Na tunaposema location hatumaanishi umbali wa wanaotaka kununua na shughuli zao za kila siku... Lakini ni Accessibility, social-economic factors etc.. kama vile uwepo wa hospitali, maji, umeme, barabara, masoko, maduka, misitu, bahari, mito nk... Na kwa mantiki hiyo... Kibaha Kongowe is just an ideal location for any serious buyer.

Ni mtazamo tu.

NB: Happy Bidding.
 
Nimekuelewa Ndugu, Nilichofanya mimi ni kumpa mtazamo wa kibiashara zaidi na si wa "Ki-Kutatua shida za sasa". Sina Influence yeyote wala personal interest kwenye biashara yake.... I was just being a concerned citizen.....
Yes, Hapa ni soko huria na halichagui mkazi au uraia wa mnunuzi.... With that being said, I meant Kibaha Sio mbali (per-se)...Inategemea mnunuzi anatoka wapi na ana mipango gani na hiyo nyumba baada ya kuinunua... Sio kwakuwa watu wa dar wanaona ni mbali kuishi n
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=6233604
 
Asante mkuu, ila pia hujasema kama mwenye nyumba alishahama kwenda Mbeya ulikosema au bado famili ayake ipo pale?

kaka mwenye nyumba kwa sasa yupo mbeya pale yupo mdogo wake anaangalia nyumba hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom