nyumba inauzwa millions 13 majohe

nyumba inauzwa millions 13 majohe

nyumba ya viumba vi3 mbele ina fremu ya biashara iliyokamili kwa biashara na kiwanja kikubwa chakutoa nyumba kubwa vinauzwa kwa pamoja kwa thamani ya sh 13million...Tunauza kwa bei hiyo kutokana na vyuma kukaza...Muhusika ni mimi wenyewe mwenye kuhitaji awasiliane nami kwa namba 0625474614 nitakuonyesha picha zote kwa whatsap!
NB:huku vyumba vya kupangisha ni dili hivyo ukijenga vyumba ukapangisha pia utaingiza pesa then nyumba ipo karibu sana na barabara hivyo gari inaweza kuingia mojakwamoja mpk ndani
ENEO HILI NI MAJOHE KWA NGOZOMA YAANI MAJOHE MJINI


Picha inahusika hapa mkuu, vipi wewe?
 
jamani kama wewe huna pesa ni vizuri ukanyamaza tu!! maana naona mmekalia majungu tu!! Hamna ulazima wa kuchangia kila thread ....
Weka picha hapa wewe, wacha kulalamika,
Unaogopa kuweka picha za Nyumba unayodai ni yako??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom