Nyumba inauzwa million 8.

Nyumba inauzwa million 8.

kimweri Jr

Senior Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
131
Reaction score
42
Nyumba ipo kibaha kwa matiasi mtaa wa pili kutoka stand, imesajiliwa kwa namba MKM 2019, ina vyumba vya kulala vinne (4) na sebule. Umeme na maji bado na pia inahitaji finishing, kwasasa inaishi watu. Hahitajiki dalali. Mawasiliano 0658 252658.
 
Nadhani co kweli kwamba nyumba za juu ya makaburi zinauzwa bei rahisi. Ujenzi wake ulisimama mwaka 2010 kwasababu zilizo nje ya uwezo binafsi. Bei haipungui zaidi ya hapo. Ipo kwa matiasi kibaha mtaa wa pili kutoka stand. BUSARA INAHITAJIKA KTK KUTOA MAONI.
 
Hiyo nyumba imejengwa kwenye eneo la ukubwa gani?
 
Size ya kiwanja? Ni ya kwako au ya familia? Kama ya familia mmefungua mirathi mahakamani? Kama ya kwako ina vielelezo vyote vya umiliki wako?
 
hakuna nyumba inayouzwa bila vielelezo na ukikubali kuuziwa bila vielelezo vya kuridhisha utakuwa umeibiwa. Kiwanja ni robo heka.
 
Haipo ndani ya hifadhi ya barabara kweli, au mwenzetu umeshakula malipo yako unataka kutuachia msala wanunuaji.
 
Mkubwa samahani kwa hili ila kama inawezekana ningeomba utuwekee hata picha japo tuione hiyo nyumba mana muda mwngne maneno pekee hayamuhamasish mtu
 
Imejengwa kwa udongo na makuti au ni materal gani? Naona haiwalipi hata gharama ya kiwanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom