Kitope
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 236
- 58
waswahili tuna tabu kweli!! Mtu akiweka nyumba bei ya kutupa mwenyewe kaamua kuuza hivyo kutokana na hali ya nyumba na kama alivyoilezea inataka kumaliziwa. watu humu wanawaka kwa kila mtindo imejengwa makaburini, ya ukoo na kejeli za kila mtindo. angeweka milioni mia mbili wembe ule ule mwizi, ten percent, dalali, nyumba ya dhahabu?? na mengine yote. kama M8 ndogo mpeni tu 40 au hata M.100 wandugu. sidhani kama atakataa ofa. ili mradi tu ofa iyo isiwe na masharti maana wengine humu wa mombasa.