Nyumba inauzwa Mil 20 chap!

Nyumba inauzwa Mil 20 chap!

Nakutakiakufanikiwa ndugu yangu, naamini kabisa una sababu za kutosha kufikia uamuzi huu.
Garama za ujenzi zilivyo kubwa , hela uliyo iweka hapo naamini ulikua na malengo pawe makazi yako ya kudumu.

Pamoja na kuleta tangazo huku naamini huta kosa mteja ,lakini pia usiishie hapa tu, jaribu kuwashirikisha wale wanao husika na issue hizo kwa maana ya dalali , hata kama atachukua kiasi fulani cha fedha ila inakuwa na urahisi kwa kiasi chake.

Japo ingekuwa heri usingeiuza maana huwa inapanda thamani kila leo.
 
Usemayo ni kweli kabisa.
Gharama iliyotumila ni kubwa na tuseme ni kama imekamilika lwa maana kibishi unaingia.
Nyumba ukishapaua, mageti na grill za dirisha na vyoo hapo tayari kuingia.

Sema ndio hivo tena
 
Hongera sana,ni kubwa ...umepambana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom