Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,832
- 37,438
Rejea hapa
Nimeamua kuiuza.
Mwenye Mil 20 chap aje nimpatie.
Ni yangu mwenyewe.
Nyumba ina vyumba viwili vyote master, chumba kimoja cha master ni kikubwa (cha baba na mama),
Ina public toilet,
Ina jiko,
Ina stoo.
Ina sebule kubwa.
Nyumba nimeshaipaua tayari na ina vyoo ndani (master kubwa ina choo cha kukaa, public na master ingine ina vyoo vya kuchuchumaa) Vyote vipya.
Nimeshafanya hatua za awali za wiring bado kuingiza nyaya kwenye switch tu.
Nimeshafanya brandering nyumba nzima kwa ajili ya gypsum.
Imeshapigwa rafu floor nyumba nzima.
Karo kubwa la choo na chemba zake ziko tayari.
Ina madirisha ya grill na mageti mawili (la mbele na nyuma yenye vitasa vya funguo)
Na mbele ya nyumba kuna eneo kubwa tu limebaki kwa ajili ya ufugaji au kilimo au ukitaka kujenga hata nyumba ingine nafasi inatosha.
Nyumba iko Ndachi, kilometa 1 toka hospitali kubwa mpya ya Jiji la Dodoma.
Na kilometa 2½ toka mizani na parking ya malori Nala.
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 554.
Kumejengeka na kuna makazi ya watu hasa wanajeshi na polisi.
Wale wastaafu nawaita mara 3
Nunueni mje kucheza na wajukuu zenu.
Viwanja mjini vimejaa.
Nimetoka Chunya juzi kuja kuiuza. Dodoma baridi sana.
Nunueni nirudi zangu Chunya.
Haina dalali.
Ni kubwa kuliko unavyoiona kwenye picha wakuu.