tutakaribia ila ni kivule maeneo gani[/QUOTE
Ukonga banana,kabla hujafika hujafika jengo la Aviation, Kuna barabara inaelekea huko..
Karibu sana,contact ziko hapo kama siku unakuja kuona tunawasiliana tu..
Ahsante.
Duh hii nyumba kuboko! Ina hadi magurudumu!
Nyumba bado ipo
Bei ile ile?
Bei ile ile?
Bahati mbaya mi nna mil kumi tu. Najua ww sio km machinga ambao wanaanzia na elfu 20 lkn anashuka mpaka elfu2. Ctanii hiyo mil 10 ipo cash. 0713517966
Mkuu kwa 25 je?
Ndugu uko mbal kidogo,kama unavyojua gharama za ujenz na nyumba INA mwaka tu tangu nijenge,
ongeza nguvu Mkuu.nyumba safi unamalizia mapambo machache tu kama rangi na kuhamia
Duh bas kaka uwezo wang ulikua hapo aisee
okay Ndugu shukrani!
Manake hapo kwa uwezo Wang huo nijipge kuongeza kias gan labda naweza jarib
sorry Mkuu naku pm kama hutojali
Poa haina shida