Habari wana JF.
Nauza nyumba yangu,ina vyumba 3 ambapo kimoja ni master bedroom,sitting room,dinning room,kitchen na public toilet, pia ina gypsum kote,.
Nyumba imekamilika mtu anaweza hamia kabisa,
Ina miez mitano tangu kuijenga, pia ina eneo kubwa sana la kuweza uzio pia na kujenga tena na nafas ikabaki.
Ina ramani ya kisasa, ipo Kivule mwisho karibu na shule ya kananura sec, na ipo karibu na kituo cha daladala, pia gari inafika hadi kwenye nyumba
Pia baada ya kupata ushauri kwa wana JF wengine na kuzingatia shida niliyonayo na muda,Nyumba ninauza Mil 38 name maelewano yapo kidogo
Contact : 0754601754. Karibuni sana.