Nyumba inauzwa kinyerezi

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Nimetumwa kutangazia mtu nyumba yake ipo KINYEREZI
Vipimo ni Urefu wa Meter 21
Na upana Meter 11
Bei ni TShs. 15 Milion
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala, baraza au sitting room na choo kimoja na bafu moja
Nyumba ina kisima cha maji
Wasiliana na mwenye nyumba kwa no 0652 13 16 53
 
Nadhani ungetupa specification za kiwanja tu.. manake kwa bei hiyo ni wazi hakuna nyumba hapo ila kiwanja..
 
Aliyekutuma mwambie akupe picha za hiyo nyumba za nje na ndani uziweke ili wanunuzi waone, pia unachosema urefu na upana haieleweki ni vipimo vya nyumba au sehemu ya kiwanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom