Hakuna hela iliyoongezwa, hatufanyi kazi kwa namna hiyo. Kilichoandikwa kwenye tangazo ndicho kilichosemwa na muuzaji. Karibu.Hapo usikute mmiliki anataka milioni 50 tu! Ila sasa baada ya dalali kukabidhiwa kuuza, na yeye anakuja na hesabu zake za kutatanisha.