Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,286
Nyumba safi kwa ajili ya makazi ya familia au biashara kiwanja /Plot 440 Block C Nkuhungu East
Inauzwa Mjin Dodoma, Nkuhungu Kituo cha mwisho cha Daladala CCM ulizia kwa Bw CHacha
ukubwa wa kiwana ni 40m x 22m
Nyumba ina
picha zinafuata sasa hivi
Inauzwa Mjin Dodoma, Nkuhungu Kituo cha mwisho cha Daladala CCM ulizia kwa Bw CHacha
ukubwa wa kiwana ni 40m x 22m
Nyumba ina
- Sebule kubwa
- sehemu ya kulia chakula
- Jiko la ndani
- veranda kubwa
- Chumba kikuu cha choo na bafu ndani kwa ndani (Master Bedroom)
- choo cha ndani
- Car Park Egesho la gari hata mawili
- Ukuta kuzunguka nyumba (Fance)
- Na 0766-775092, 0788-287920, 0764-150790, 0657-748652
picha zinafuata sasa hivi