dip pub
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 389
- 74
nyumba mpya yenye chumba,sebure na choo cha kujitegemea,tiles kote inapangishwa iko tabata kimanga. kodi ni 150000 kwa mwezi,inahitajika kodi ya miezi 6 mawasiliano # 0714358610
Hembu weka wazi,yaani Chumba kimoja?
aiss huwezi kuihamishia morogoro maana nimetafuta nyumba ya sifa hizo nimekwama!
mkuu ninataka maeneo ya karibu na barabara ya moro dom!mkuu nikipata sifa hizi nitafurahi kiongoziMoro unataka kukaa maeneo gan??