Nyumba Inapangishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba Inapangishwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Pelham 1, Aug 13, 2012.

 1. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kwa wale wanaohitaji: Nyumba inapangishwa ful tyles ipo maeneo ya Sinza Palestina nyuma ya msikiti na karibu na kituoni ipo poa sanaaa: Inasebule yakutosha,Vyumba 3 Kimoja Master,inachoo cha public na maji yanatoka 24 hrs na mangine kwenye tank, bei laki 6 upungufu unaongea na mwenye nyumba, Fika ujionee mwenyewe kwa mawasiliano: 0714074040
  0767074040
  0783074040
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni karibu kiasi gani na msikiti,maana mambo ya kusikia mawaidha mara tano kwa siku yataka moyo
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Umejuaje ni kama ulikuwa akilini mwangu hayo mawaidha hadi usiku na ile swalah swalah saa kumi usiku inakuwa shida kwani,pia wengine ni wapenzi wa ku kaanga kile kitu roho inapenda na hakina siri hunukia hadi kilometre nzimaaa,sasa ikiwa karibu na msikiti unaweza kusomea fatwa na bakora juu kwa kuchafua hali ya hewa
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha
  le ya kuamshwa tangu saa 10 alfajiri ndio mtihani.
  Hiyo nyumba wakimpangisha sheikh wa msikiti itakuwa safi sana.
   
Loading...