Appartment inapangishwa Yombo Vituka ( nyuma ya airport)

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,325
heshima kwenu wadau.

appartment inapangishwa vituka near aiport( ikizu motel au kwa jimmy)

ni masterbedrum na sebule yake.

ipo ndani ya fensi na geti, ina umeme luku na maji) drilling)

bei ni 120 kwa mwezi, kodi miez 6


kwa anaehitaji awasiliane namba 0658 000106
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom