Nyumba inapangishwa Vituka jet lumo ( near Airport dsm

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,325
Heshima kwenu brothers and sisters

Nyumba ya familia inapangishwa yombo vituka nyuma ya airport.. Maarufu kama Jet lumo ( kwa jimy " woodland pub")

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja masterbedrum.

Ipo ndani ya fensi yenye nafasi ya kutosha 4 to 5 cars na ina gate

Ina umeme ( luku yake peke yake ) na maji ( drilling)

Ipo maeneo tulivu near Ikizu motel na ina Tiles

Bei ni 270,000 KWA MWEZI, KODI MIEZI 6

Nyumba inapangishwa kuanzia April 23 na aliye interested anicheki pm au " shaurimbaya @ gmail.com, au 0712 638615
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom