Nyumba Inapangishwa Sinza

akilikubwa

JF-Expert Member
May 11, 2015
590
108
Ni master na vyumba viwili,kuna jiko,maji,umeme na car parking bei Ni Laki 3 kwa miezi 6.

Na pia kuna nyumba maeneo ya kijitonyama,mbezi africana,masaki nk kwa

mawasiliano piga Au sms namba 0713 912577

Sinza

1463291961221.jpg


Mbezi africana

1463291976325.jpg
1463291987473.jpg


Kijitonyama Laki 3 kwa Mwezi kwa miezi 8
1463291886693.jpg
 
Samahan laki tatu kw miez sita kwa maana Ni elf 50 kwa mwez au mim sjaelewa
 
Mbona picha nyingi sana
Bora ungeeleza kuwa nyumba fulani bei fulani na iko mahali fulani na picha yake ndio hii hapo watu watakuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom