House4Rent Nyumba inapangishwa Mwenge DSM opposite TRA, bei 250,000

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,065
2,362
Nyumba ina chumba ambacho self na ina sebule na Jiko kwahiyo ni chumba self, sebule, Jiko na Choo LUKU inajitegemea na uzio upo na usalama wa KUTOSHA, maji yapo kila siku na ni ya DAWASCO, kodi ni 250,000 kwa mwezi, unaweza ukalipa kwa mwaka au miezi 6 wasiliana nami kwa 0713415537, pia wale wa nyumba yenye vyumba viwili vitatu na kuendelea msisite kunicheki nyumba zipo
 
hii ni chumba, sebule na jiko haijawa na sifa ya kuwa nyumba mkuu, nyumba mpaka iweze ku accomodate familia means baba mama na watoto, chumba cha baba kiwepo, watoto wa kike kiwepo na cha watoto wa kiume,
next time hakikisha ukitumia neno nyumba walau iwe na vyumba vitatu
 
Hayo ni mawazo yako mkuu Ila sebule chumba na Jiko nayo ni nyumba
 
mkuu chumba master, sebule na Jiko utaita nyumba au chumba?
Mkuu hiyo bado haiqualify kuitwa nyumba, kibongo bongo sawa, ila katika tafsiri ya nyumba as nyumba, hicho ni chumba tu tena master bed room, nyumba ina dinning room, rooms kadhaa, garage, servant quaters, library ambayo pia ina study room, tv room, dari, store, basement na mengineyo, sasa kama hiyo inayokua advertised hapa inavyote hivyo then it qualifies to be a house, but mpaka sasa, naona kinachopangishwa ni master bedroom...
 
mkuu tafsiri ya chumba ni lazima kiwe ndani ya nyuma, sasa hii imejengea peke yake, means ni nyumba inayojitekemea yenye sebule, Jiko na chumba master na inajitegemea,
 
hii ni chumba, sebule na jiko haijawa na sifa ya kuwa nyumba mkuu, nyumba mpaka iweze ku accomodate familia means baba mama na watoto, chumba cha baba kiwepo, watoto wa kike kiwepo na cha watoto wa kiume,
next time hakikisha ukitumia neno nyumba walau iwe na vyumba vitatu
acha kujitungia tu
nyumba ya chumba kimoja-one bedroom house
nyumba ya vyumba viwili,vitatu,vinne-two bedroom house etc
 
mkuu naona wewe utakuwa una athiriwa na misemo ya kiswahili ya nyumba ni choo, kukiwa na choo tu kitu kina qualify kuwa nyumba,
 
nyumba ni chumba/vyumba/jiko/choo plus other extras.....idadi ya vyumba haifanyi moja kuwa nyumba na nyingine kuokuwa nyumba. Nyumba inaweza kuwa na chumba kimoja cha kulala sio lazima viwe vyumba vitatu vya kulala.
 
Mkuu hiyo bado haiqualify kuitwa nyumba, kibongo bongo sawa, ila katika tafsiri ya nyumba as nyumba, hicho ni chumba tu tena master bed room, nyumba ina dinning room, rooms kadhaa, garage, servant quaters, library ambayo pia ina study room, tv room, dari, store, basement na mengineyo, sasa kama hiyo inayokua advertised hapa inavyote hivyo then it qualifies to be a house, but mpaka sasa, naona kinachopangishwa ni master bedroom...
unatania...sio?
 
Back
Top Bottom