Nyumba inapangishwa kigamboni -south beach resort

Edo

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
727
93
Nyumba ya vyumba 3 inapangishwa, ipo kigamboni South Beach Resort, sehemu salama na yenye fensi kuzunguka eneo lote la nyumba karibu 100+. Ni mita chache kutoka baharini, huduma zote muhimu zipo. Gargen bado inatengenezwa , lakini nyumba iko tayari mtu kuingia wakati wowote. Kama una interest, ni PM, dalali hapana ! Kodi maelewano
 

Attachments

  • External View.jpg
    External View.jpg
    805 KB · Views: 116
  • Sitting Room.jpg
    Sitting Room.jpg
    558.8 KB · Views: 102
Edo sema ngapi na kama iko room ya kujadiliana. hivi ni bora kuliko kupotezeana wakati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom