Nyumba ya vyumba 3 inapangishwa, ipo kigamboni South Beach Resort, sehemu salama na yenye fensi kuzunguka eneo lote la nyumba karibu 100+. Ni mita chache kutoka baharini, huduma zote muhimu zipo. Gargen bado inatengenezwa , lakini nyumba iko tayari mtu kuingia wakati wowote. Kama una interest, ni PM, dalali hapana ! Kodi maelewano