Nyumba inapangishwa, ipo Kimara Korogwe

Nyumba inapangishwa, ipo Kimara Korogwe

Unafikiri hatupendi kujenga kaka, hali sio kabisa yaani. Tunapenda sana kujenga.

Ila saa ingine wapangishaji wanakera sana, inakuwa kama bwenini sekondari bwana

Na hata hivyo kaka tukisema wote tujenge madalali mtafanyaje sasa? Mtabadili biashara au.....
Nakuelewa sana mkuu ila ishu hapo ni kujibana kujenga hata vyumba viwili mkuu kuanzia maisha
 
Ndugu nawataarifu kuwa nyumba tayari imeshapata mpangaji..
 
Sasa asirudi usiku sana kivipi,mnajua kazi za shift nyinyi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom