Nyumba inapangishwa, 120,000

Inaweza kuwa kweli mkuu ila kwa maisha ya sasa na watu wa mjini inakua ngumu kidogo kiamini maneno matupu, ikiwa bado wazi basi nitakua mwenye bahati.
Usijali, tena kama itakuwa wazi hadi muda huo, utaikuta ikiwa kali balaa, itakuwa kama paradiso
 
Akikosekana mtu kabisa nishtue mimi nihamie huko
 
Duh naitamani hiyo nyumba maana ni karibu na site kwangu kule mbele kunaitwa Goma,mkuu ngoja niiweke katika mawazo hii naweza kuja kuicheki
 
[QUOni kwe"Muhsiniina, post: 24323136, member: 461931"]Usife moyo mkuu, utapata mtu, watu wasikukatishe tamaa, gharama za ujenzi ni kubwa najua unatamani hata kodi ingekuwa mara 2 ya hapo, mdogo mdogo utafika

Sent from my RAINBOW LITE 4G using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
Dah ni kweli mkuu
 
Kumbe zipo za bure, kuna jamaa yangu anaomba umsaidie akae huko. Pili Kwangu sio magohe, ni Freetown, magohe ni mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si ametaja sehemu ni Mbezi Msakuzi unashuka kituo kinaitwa Freetown au mnauliza nini?
Watu wakiandika humu jua hawajakurupuka Mjomba, we hapa chini unaiona hiyo Mbezi Msakuzi??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…