Nyumba inapangishwa; 100,000

Nyumba inapangishwa; 100,000

Nimeamini watu wengi hawaijui dar kuhusu swala la maji
Wanazingua tuu,mimi niko Mbez kwa Msuguli maji ni ya kununua january had january itakuwa mpiji?wanajibanza kwenye mbavu za dog Sinza,kinondoni,mwananyamara na kwa mfuga dogi halafu wanaulizia maji,mpfyuuuuu
 
maisha ya kisasa bila umeme ni magumu sana..

jitahid uweke umeme mkuuu utapata mteja fasta..

bila umeme kuipangisha kazi sana
Acheni ubishooo kwani vijijin kwenu mnaishi vipi au mmekuja mjini mnasahau mlikotokea? By the way kuna solar waweza kufunga ukawa na mwanga
 
Ningekuwa naishi maeneo karibu na huko ningeichukua na umeme ningetia mimi tukaja katana kwenye kodi...wasikukatishe tamaa hiyo nyumba ni nzuri na ni sahihi kabisa kuipangisha kwa bei hiyo au zaidi.
 
Ningekuwa naishi maeneo karibu na huko ningeichukua na umeme ningetia mimi tukaja katana kwenye kodi...wasikukatishe tamaa hiyo nyumba ni nzuri na ni sahihi kabisa kuipangisha kwa bei hiyo au zaidi.
Mkuu sio kwamba hela ya kuweka umeme sina Bali mchakato unachukua muda. Mara nyingi sipo dar na sina mtu aliyepo idle wa kufuatilia. Ila tayari surveyor amefika; ndani ya muda mfupi unaingia
 
Mkuu sio kwamba hela ya kuweka umeme sina Bali mchakato unachukua muda. Mara nyingi sipo dar na sina mtu aliyepo idle wa kufuatilia. Ila tayari surveyor amefika; ndani ya muda mfupi unaingia
Inabid uende pale Tanesco umtafute fundi incharge unamtia pesa kidogo tuu hata lak haifik wanaingiza umeme.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom