Nyumba inapangishwa; 100,000

Nyumba inapangishwa; 100,000

Masanjbeingpost: 21970913 said:
Kuna dogo ananichekia pale sio mtunzaji wala sio msafi ndio nataka kumtoa. Umeme ndio nafatilia; maji serikali imeanza mchakato kule

Nyumba haina Umeme wala maji laki moja? Duh......[/QUOTE]
Kwani inakuwa bei gani
 
[QUOTEyO SANTANA, post: 21972386, member: 295354"]Hebu jamani tuweni makini basi.
Yani great thinkers unawaambia nyumba isiyo na umeme na maji laki 1!!!!!
Kweli kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi.[/QUOTE]
Great thinkers ndio watu gani au malaika. Jenga yako upange bei
 
[QUOTEyO SANTANA, post: 21972386, member: 295354"]Hebu jamani tuweni makini basi. Yani great thinkers unawaambia nyumba isiyo na umeme na maji laki 1!!!!! Kweli kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi.
.
Great thinkers ndio watu gani au malaika?!. Jenga yako upange bei
Kwa laki poa sana, ila tu mwenye nyumba angefanya hiki na kile kuboresha kungetamanika, kwanza usafi wa nje kidogo, ka landscape na maua kidogo, rangi nje kidogo, hata chokaa mbona poa kwa nje, piga na picha kwa ndani kulivyo na tumia camera nzuri zaidi, au simu yenye camera nzuri zaidi..
 
Nyumba ni yangu ila siishi dar; hapo dogo anayekaa hapo amepanda kunde ila sio msafi na mtunzaji; ndio nataka atoke. Nyumba ina rangi ya kwanza nyeupe ndani na nje. Ila ntapaka nzuri ya mwisho. Ni kweli ina landscape ila ntaweka fresh. Karibu sana
 
Hebu jamani tuweni makini basi.
Yani great thinkers unawaambia nyumba isiyo na umeme na maji laki 1!!!!!
Kweli kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi.

Hiyo siyo nyumba ni sehemu ya kujificha.
 
maisha ya kisasa bila umeme ni magumu sana..

jitahid uweke umeme mkuuu utapata mteja fasta..

bila umeme kuipangisha kazi sana
 
[QUOTEupo SHMAN, post: 22043498, member: 55774"]maisha ya kisasa bila umeme ni magumu sana..

jitahid uweke umeme mkuuu utapata mteja fasta..

bila umeme kuipangisha kazi sana[/QUOTE]
Umeme upo njiani; mpaka mwezi ujao itakuwa tayari
 
[QUOTEyO SANTANA, post: 21972386, member: 295354"]Hebu jamani tuweni makini basi.
Yani great thinkers unawaambia nyumba isiyo na umeme na maji laki 1!!!!!
Kweli kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi.
Great thinkers ndio watu gani au malaika. Jenga yako upange bei[/QUOTE]
Yaan hiyo ingekuwa Mwanza ningeichukua hiyo bei ni sawa na bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom