Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,072
- 304
Iwe vyumba yenye vyumba vya kulala visivyopungua vitatu, iwe imejengwa katika kiwanja ambacho kimepimwa na kina hati miliki, bei yake isizidi tshs100mil. Natarajia kupigiwa simu na mmiliki wa nyumba na si vinginevyo. Kama unayo tuwasiliane kwa namba hii ya simu sms whatsapp au kupiga 0784225000.