Nyumba 2 za kisasa zinapangishwa

Kiongozi Respect,
Marketing skills zako ziko juu.
Wanaoleta matangazo wengine hapa JF watajifunza mengi toka kwako.
Shukurani sana.
Kila la heri katika kutafuta wapangaji.

Asante baba, ni njaa tu babangu! njaa inaleta akili.
Inatisha sana watoto siku mbili wasiende choo!!
 
Wakuu,

Mauzo ya aina YOYOTE kati ya mwanachama na mwanachama au kati ya yeyote aliyesoma tangazo la mauzo hapa JF na muuzaji kama hayatapitia kwetu kama uongozi wa JF hatutakubali lawama.

Tangazo lolote ambalo limeidhinishwa litawekwa na Maxence, Admin, PainKiller, Silencer, Invisible au Farida.

Tofauti na watajwa juu eleweni kuwa ni kuchukua risks katika kununua mali ya aina yoyote.

Uongozi wa JF upo katika mchakato wa mwisho kumalizia ofisi rasmi kwa ajili ya wauzao na wanunuao ambapo matangazo yatatangazwa rasmi na uongozi baada ya kuwasiliana na wenye mali husika.

Ni angalizo muhimu kwa wakati huu, iweni macho!

Mzee nimekupata, asante sana.
 
Jamani kutokana na hali ya kiuchumi ya dunia nimeamua kurekebisha bei ya zile nyumba zetu. Sasa kila nyumba ni shilingi laki saba za Kitanzania Tzs 700,000/=
Karibuni sana....
 
uliambiwa laki tano ukakataa ukasema laki nane, sasa hivi unasema laki saba
kwa kweli kabisa hizo nyumba ni laki 3 au 4, kuna jamaa yangu kapata nyumba nzuri tuu mbezi kwa laki 3

shusha bei achana na utajiri wa harakaharaka
 
Asante mkuu, lakini hapo ndiyo mwisho. Ikibidi ntabadilisha mkakati.
 
Aisee badilisha mkakati. Umeona soko hamna?

Ni Kuwa:

Laki saba utapata kwa wachina ambao watakaa wachina kumi na tano nyumba moja (usiulize tatizo ni nini hapo) baada ya mwaka unakarabati nyumba kwa millioni tatu!!

Nyumba nzuri ila finishing....Kuna AC za kutoboa kaka hilo ni tatizo hasa ukizingatia aina ya wateja unaowataka.

Nyumba haina NAFASI nje na ipo Mwananyamala.

Labda utafute mteja wa shirika la serikali yaliyozubaa.

Mchango wangu mdogo tu huo
 
Mzee nashukuru pia,
Ila hizo nyumba nizangu ntazifanya chochote ninachotaka, na maneno uliyosema hapo ni changa moto kwangu. Dunia hii imejaa wakatisha tamaa wengi tangu zamani za kale! lakini ukiwa "hero" siku zote unwaangusha wakatisha tamaa na wanabaki wameshangaa! umewezaje?
 
hamna mtu anayekukatisha tamaa bali watu wanakuambia ukweli na ukweli uliotolewa hapo ni juu ya bei na si kinginecho.....

kama laki saba unaona ni fair price sawa lakini watu wengine hawaoini kama hiyo ni fair price, na kama mtu haoni hiyo ni fair price hana maana ya kwamba anakukatisha tamaa
siku zote jenga tabia ya kujibu hoja kwa ushawishi na sio character assassination
 
Imekuuma ee? usijali wewe pia ni mteja wangu japo una mambo!

Mh, mkuu hao watu wengine ulikutana nao wapi woote wakakuambia hawaoni kuwa hiyo ni fare price!? umejuaje kuwa tatizo lao ni bei tu!? ungejisemea wewe tu matatizo yako, wengine pia wangesema ya kwao, au vipi? Hii ndiyo hekima mheshimiwa, mimi naamini hivyo.

Lingine....ndugu yangu jinsi ya kujibu hoja inategemea vitu vingi, siyo hayo mambo ya "ku-kremu"

Karibu M/NYAMALA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom