Iko nini ?
Hivi serikali kwanini isitafute maeneo na kufanya hayo mambo wanayotaka kufanya badala ya kuwabomolea hao watu wote makazi yao?Nyumba elfu 4 kwa mitaa ya uswazi unaweza kuta kuna watu elfu 80 na zaidi!
Nilikumiss karuchii wangu nilitaka nikuone..Iko nini ?
Sheria ya ardhi inasemaje?MKULU C ALISEMA WASIBOMOLEWE SBB WALIMPA KURA