Nyuma ya Pazia; TFF -AZAM TV Haki ya Matangazo

Okay, share hapa ilipotangazwa.
Hoja ya pili, contract duration na value for money unaizungumziaje, tunajadili Chief acha kupanic huenda ukajifunza kitu in the process
Mimi sijapanic unaongea vitu vingine as if hujaenda shule tumekujibu tenda ilitangazwa washindani wa Azam walishindwa na mkataba ilikuwa ni kipindi cha miaka 10 sio kuwa azam watu waliamua. Tujifunzee kuangalia mbali cha pili kiuchumi huyu azam ni mzawa na pesa Nyingi ka invest in our country na Chachu ya dau lake ataleta mageuzi makubwa kwenye soka nchi hii

Next Time inatakiwa ufikili kitu kwa upana zaid
 
Kichaa Man, hakuna mpuuzi hapa. TUNAO UHURU WA KUHOJI AU HATUNA ? JE KUHOJI KWETU TUNAVUNJA KATIBA YA JAMHURI ?
Uhuru unao Kuna muda inatakiwa ujifunze kuangalia jambo kwa maslahi mapana sana ya vilabu na maendeleo ya soka
IMG-20210525-WA0149.jpg
 
Tenda ilitangazwa,Mimi niliona tangazo kwenye mitandao ya TFF.
Ukubwa au udogo wa fedha zinazotolewa unategemea ukubwa wa uchumi wa nchi,usifananishe South Africa na Tanzania,jiulize wangapi South wanaweza kununua ving'amuzi na kulipia malipo kila mwezi,pia jiulize swali hilohilo kwa Tanzania.

Kuhusu miaka 10 ni kwamba Azam pia watatakiwa kununua vifaa,Kama camera,magari ya matangazo ambayo ni gharama kubwa,kuwapa mafunzo wafanyakazi nk.

Sasa akipata mkataba wa miaka mitatu anaweza kupata hasara maana itabidi ashindanie tenda na anaweza kukosa, kwahiyo Kuna ambo mengi Sana kuhusu huo mkataba.

« Sasa akipata mkataba wa miaka mitatu anaweza kupata hasara maana itabidi ashindanie tenda na anaweza kukosa, kwahiyo Kuna ambo mengi Sana kuhusu huo mkataba. »

Kwa maelezo yako hapo juu mjomba wewe ukienda pale TAKUKURU kuhojiwa , ujue ndiyo safari yako imefika hapo . Hautorudi tena maana mule mule ndani wana kaselo kao. Watakutunza mpaka wakupeleka
Kisutu kwa maelezo zaidi.

Taratibu hazipo hivi chief, suala la cost operations halina uhusiano na contract duration. Ni aina nyingine ya UKAKASI ulio jificha. Hauwezi plan kuandaa Mkataba wenye favor kwa Supplier au service provider eti kisa atakuwa na operation cost kubwa hivyo tumpe wa muda mrefu ili apate faida bila ya kujali VFM. UTAFUNGWA WEWE!

Umeongea kitu cha ajabu sana. Probably ni out of your knowledge
 
Mimi sijapanic unaongea vitu vingine as if hujaenda shule tumekujibu tenda ilitangazwa washindani wa Azam walishindwa na mkataba ilikuwa ni kipindi cha miaka 10 sio kuwa azam watu waliamua. Tujifunzee kuangalia mbali cha pili kiuchumi huyu azam ni mzawa na pesa Nyingi ka invest in our country na Chachu ya dau lake ataleta mageuzi makubwa kwenye soka nchi hii

Next Time inatakiwa ufikili kitu kwa upana zaid

Man unatoka sana nje ya mada. Weka hapa hiyo tenda wewe si uliiona. Weka hapa kwa faida ya wote tusome. Huko TFF site haionekani. Ukiongea kwa ithibati itapendeza.

Pia suala la yeye kuwa mzawa au kuwa na investment nyingi haliondoi uhalali wa sheria .
Mkataba wa 10 years tukubali kwa pamoja wizara husika imeingia kichwa kichwa au na wao walishakula 10% zao. Tafakari
 
Ndugu yangu roho sana.
Unataka uwe mkataba wa miaka 5 hili mapesa yote achukue simba

Hapana. Lengo ni kuendana na Value for Money na kuongeza Tija ya ushindani wa ubora wa ligi.

Miaka 10 kuna many changes. Ndani ya msimu mmoja tu kuna mabadiliko makubwa sana. Sasa unampa mtu misimu 10 , Seriously. Kwanza kwa sheria ya manunuzi Framework Agreement ni Miaka 2 tu.

How did they get into 10 years ?
 
Afu nisadie kumtaja aliyesema atatoa au alitoa dau kubwa kuliko azam tv ili tukuelewee tofaut na hapo ntakuona unaleta ushilawadu tu

Atleast hapa umeuliza swali ndani ya mada. Tungekuwa tumeshafika huko. Tujifunze sana ku Focus kwenye TOPIC , nilikuomba sana ubaki kwenye mada unaweza kujifunza kitu kipya in the process.... but you blew up
 
Ila bongo kuna watu wapuuzi kweli. Hao dstv mnaowazungumzia mwaka karibu wa 10 huu mbona hawajitokezi? Hivi unajua dstv wana subscribers wangapi hapa bongo? Compared to Azam? Unadhani dstv anaweza kuweka mpunga kama walioweka Azam? Dstv abaki na EPL tu huku asahau. Azam amefanya jambo la maana sana tena sana. Mdhamini mkuu wa ligi sasa lazima ajipange sana sio yale mambo ya 80m au 100m kwa bingwa. Hapana.
Nakumbuka dstv waliwahi kujitolea kuonyesha games kama 5 za majaribio 2012 majibu waliyapata wakasepa mazima. Bongo wana subscribers ni wachache sana. Hiyo EPL tu watu wanaangalia vibanda umiza n mabaa. Itakuwa VPL

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Taja huyo aliyetaka kuweka hizo 800b hadi 1Tl? Otherwise huu utakuwa umbea na udaku tu

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app

Unauliza swali huku unakuwa Judgemental . Wabongo sisi hatuwezi mijadala ya akili.

Ulipaswa kuuliza hivi; taja huyo aliyeweka 800 Bil Hadi 1T.

Watanzania tuna poor communication skills, ndio manaa kwenye international forums za ku agree to disagree hukuti MTZ
 
Ila bongo kuna watu wapuuzi kweli. Hao dstv mnaowazungumzia mwaka karibu wa 10 huu mbona hawajitokezi? Hivi unajua dstv wana subscribers wangapi hapa bongo? Compared to Azam? Unadhani dstv anaweza kuweka mpunga kama walioweka Azam? Dstv abaki na EPL tu huku asahau. Azam amefanya jambo la maana sana tena sana. Mdhamini mkuu wa ligi sasa lazima ajipange sana sio yale mambo ya 80m au 100m kwa bingwa. Hapana.
Nakumbuka dstv waliwahi kujitolea kuonyesha games kama 5 za majaribio 2012 majibu waliyapata wakasepa mazima. Bongo wana subscribers ni wachache sana. Hiyo EPL tu watu wanaangalia vibanda umiza n mabaa. Itakuwa VPL

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app

Unadhani kwanni DSTV ameweza kuwekeza SA na anatoa mpunga wa maana?

Je unajua sheria za Frameworks Agreement kwa sheria za manunuzi ya umma na kanuni zake ?

Mkuu do not act like caged bird anaeamini to FLY is a sin.
 
Unauliza swali huku unakuwa Judgemental . Wabongo sisi hatuwezi mijadala ya akili .

Ulipaswa kuuliza hivi; taja huyo aliyeweka 800 Bil Hadi 1T.

Watanzania tuna poor communication skills , ndio manaa kwenye international forums za ku agree to disagree hukuti MTZ
Wewe mbabaishaji tu jibu swali unarukaruka tu. TAJA JINA LA HUYO ALIYETAKA KUWEKA 800b HADI 1T?

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani kwanni DSTV ameweza kuwekeza SA na anatoa mpunga wa maana?

Je unajua sheria za Frameworks Agreement kwa sheria za manunuzi ya umma na kanuni zake ?

Mkuu do not act like caged bird anaeamini to FLY is a sin.
Wewe una stress unataka kuzitolea huku. Hivi unaweza kuuliza upuuzi kama huo hapa eti kwanini DSTV wamewekeza PSL sana? Bye.

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Hoja ya pili hapa ni huo mkataba wa miaka 10 kwa bili 225 bila ya kujali other factors na value for money.
Mkataba utakuwa unaongezeka thaman kila mwaka mpaka kufika hiyo bilioni 225 kwa miaka hiyo kumi
 
Unadhani kwanni DSTV ameweza kuwekeza SA na anatoa mpunga wa maana?

Je unajua sheria za Frameworks Agreement kwa sheria za manunuzi ya umma na kanuni zake ?

Mkuu do not act like caged bird anaeamini to FLY is a sin.
Chief..DStv kule ni kwao..ni sawa na hata tz Azam TV ni kwao..so hata DStv angekuwa na base kubwa hapa angejitikeza na kutoa mpunga mkubwa..tu

Unaweza kuwa hoja kwenye upande wa muda wa mkataba ..lakn sidhan Sana kama unahoja kwenye kwanini asiwe nani akawa nani..

Tenda ilitangazawa kwa wadau husika kwa mujibu wa taratibu na kanuni za TFF ..huwezi kuitangaza tenda ya ujenzi kwa wapishi Chakula ni kada mbili tofauti..so tenda ilikuwa open kwa wote wanaohusika ..ndio maana waliojitokeza kubid tenda ni TBC, kupitia Startimes, Star tv kupitia continental decoda , na ATN kupitia TING decoda ..kwa list hio hao DStv wako hawakujitokeza kuomba tenda ..na kushinda kwa Azam TV sio kwamba wametoa pesa..bali uzito na hoja zao kwenye tenda waliowakilisha ..
 
« Sasa akipata mkataba wa miaka mitatu anaweza kupata hasara maana itabidi ashindanie tenda na anaweza kukosa, kwahiyo Kuna ambo mengi Sana kuhusu huo mkataba. »

Kwa maelezo yako hapo juu mjomba wewe ukienda pale TAKUKURU kuhojiwa , ujue ndiyo safari yako imefika hapo . Hautorudi tena maana mule mule ndani wana kaselo kao. Watakutunza mpaka wakupeleka
Kisutu kwa maelezo zaidi.

Taratibu hazipo hivi chief, suala la cost operations halina uhusiano na contract duration. Ni aina nyingine ya UKAKASI ulio jificha. Hauwezi plan kuandaa Mkataba wenye favor kwa Supplier au service provider eti kisa atakuwa na operation cost kubwa hivyo tumpe wa muda mrefu ili apate faida bila ya kujali VFM. UTAFUNGWA WEWE!

Umeongea kitu cha ajabu sana. Probably ni out of your knowledge
Mk54.
Unaweza kuwa na hoja nzuri pamoja na ufaham mkubwa juu ya Elimu ya manunuzi na mikataba lakini?
Vakue for Money
1. Unavyozungumzia value for money unataka kutuambia nini hasa? naona unazunguka tu! value for money siku zote inahitajj ufanye comperative advantage (Sasa je unalinganisha na ligi ipi na kwa vigezo gani, au je Umesoma mkataba mzima kiasi kwamba mkataba hauna vipengele au provisions zinazo ruhusu contract ammendments?
(Naomba ufafanue hiyo value for money unamanisha nini na kwa rejea ipi, ili tuwe na uwanja mpana wa kufanya rejea kadri ya maelezo yako juu ya jambo hiki)

2. Contract duration,
Sheria ya manunuzi unayoisema, kwa bahati mbaya sana haina kipengele au kifungu iwe kwenye Act of 2011 au Reg 2013 pamoja na marekebisho yake chenye provision ya limitation ya muda kwa mkataba wa Non Consultancy services! Sasa TFF kama Taasis imefanya analysis ya kutosha juu ya pros and cons ya tenure ya huo mkataba. Sasa unapokuja na reference nzima ya sheria ya manunuzi pamoja na Kanuni zake bila kufanya rejea ya kifungu halisi kinacho kataza contract ya miaka kumi hii inaonesha wazi una conflict of Interest.

3. Ushindani!
Napata shaka kuwa hukufanya rejea za kutosha juu ya mada yako! Nimeona coments zako ukipinga kuwa hakukuwa na ushindani na hapo hapo ukasema ilikuwa restricted tendering!

Mkuu, nazungumzia in general, restricted tendering ni njia halali kabisa iliyopo ktk sheria za manunuzi, na kuna sabab nyingi sana za kutumia njia hiyo kulingana na malengo ya Taasis husika, lakin nikusaidie, kama unavyoagiza watu wakuletee hilo tangazo, nikuombe uende TFF watakupa! kama umeshindwa kufanya utafait wako mwenyewe! (Ingawa tangazo lilikuwepo kwenye wwbsite ya TFF) sijajua kama wamelito

4. Utaratibu wa Zabuni.
Naona unazungumzia utaratibu wa zabuni na hasa ukitaka kupewa rejea ya tangazo, hii kama jilivyosema hapo juu, nenda TFF au fanya utafit wa kutosha. pengine watakupa nyaraka zoote utakazo ona zinakufaa: ikiwemo, tangazo, evaluation criterias, budget yao, washindani pamoja na mengine mengi!
 
Huo ushindani wa ligi unaongezeka vipi ikiwa Azam kapewa pin ya 10 years?

Maneno kama Akili ndogo au kutafuta kazi ya uchambuzi haina uhusiano na Mjadala huu.
Mkuu Mk54 Unafanya arguments na Watu Ambao Hata Utaratibu Wa tender hawaujui, Juzi Kati Mkuu Fohadi Alitoa Hoja Kama Hii na akainisha Mkataba ulivyo na Jinsi Azam TV watakzvyopiga Hela within Hyo 10yrs Lakini Watu wakaja na Hoja ya sjui Azam katutoa mbali sjui Nini na Nini... Hongera kwa Hii hoja
 
Back
Top Bottom