Usije twambia imuacha....Uongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..
Dude stop living in your own world of fantasy, wake the f** up and see what's going on in real worldAah wewe usinidanganye mimi najua kuna faida ya kuwa na mwanamke kuliko kutokuwa naye.. Bila mwanamke kufilisika rahisi ila ukimpata mwanamke wa kukupenda na kukujali anaweza kuanzisha miradi na akasimamia hasa ukiwa busy na kazi zako huko hence ana faida..
A woman is liability in man's life.Wanawake wengi ni speed govenor ya mafanikio
There is exception in everything and exceptionality doesn't count when make the rule, so know that and spare us your NAWALT lovey-dovey talesUongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..
Ndio maana kuna kitu kinaitwa takwimu. Badala ya kuangalia kesi moja moja angalia picha nzima kwenye jamii kupitia takwimu. Pita uko ustawi wa jamii na mahakamani uone hitimisho la kesi za mahusiano huwa linamuumiza nani kati ya mwanaume na mwanamke.Kuna mambo sio general na kuyalazimisha yawe general ni kujipotezea muda.
Dunia kuna watu wamefanikiwa sababu ya mwanamke, kuna watu wamefilisika sababu ya mwanamke, kuna watu hawaendelei sababu ya mwanamke, kuna watu wanaendelea sababu ya mwanamke.
Sasa kama wewe mwanamke anakuumiza jitenge nae, kaa na mama mzazi na kama mwanamke ni baraka kwako furahia uwepo wake.
HAKUNA HITIMISHO MOJA KWA KILA MTU, KILA MTU NA HITIMISHO LAKE.
We can put it in this way and still makes senseBehind every successful man there are five women: his mother, wife, sister, sister-in-law and a trusted smart friend.
Inawezekana wakawepo wachache lakini bado sio sababu ya kutufanya wanaume tubweteke bila kuchukua tahadhari. Ndoa na mahusiano ya kimapenzi kwa mwanaume ni sawa na kubet kuna kupata na kupotea, usijeweke hatarini kwa makusudi kwa sababu wewe ni mwanaume.Haijalishi huyo mwanamke sio pisi kali au ameona maslahi kwa baadaye ila kikubwa mwanaume kafanikiwa sababu ya support ya mwanamke.
Hata Mama zetu wanatusaidia na kutulea vyema ili baadaye wakizeeka tuwasaidie pia.
Mzee wangu jana tu kaniambia "nakuombea upate mke kama Mama yako, amenisaidia sana".
Kumbe unakubali kuna wanaume wanafanikiwa sababu ya support ya wanawake ila ni asilimia ndogo ila wewe kwenye post yako hujaweka kipengele cha tawimu.Ndio maana kuna kitu kinaitwa takwimu. Badala ya kuangalia kesi moja moja angalia picha nzima kwenye jamii kupitia takwimu. Pita uko ustawi wa jamii na mahakamani uone hitimisho la kesi za mahusiano huwa linamuumiza nani kati ya mwanaume na mwanamke.
There is exception in everything and exceptionality doesn't count when we make the rules.Kumbe unakubali kuna wanaume wanafanikiwa sababu ya support ya wanawake ila ni asilimia ndogo ila wewe kwenye post yako hujaweka kipengele cha tawimu.
CASE CLOSED.
And that is some major plot twist, which was obviously never intended nor envisaged by the original producer!We can put it in this way and still makes sense
"Behind every successful man there's woman,.... yes because no woman follows unsuccessful man"
And vice versa is true.There is exception in everything and exceptionality doesn't count when we make the rules.
Kama mmeishi pamoja hadi uzeeni basi wewe ndo best optionUkweli halisi ni kwamba mwanamke uliye naye akipata best option anakukimbia. Huo ndio ukweli halisi
Very good advice from your father but he forgot his advice doesn't really correspond with the version of women we have in these modern times.....!!Haijalishi huyo mwanamke sio pisi kali au ameona maslahi kwa baadaye ila kikubwa mwanaume kafanikiwa sababu ya support ya mwanamke.
Hata Mama zetu wanatusaidia na kutulea vyema ili baadaye wakizeeka tuwasaidie pia.
Mzee wangu jana tu kaniambia "nakuombea upate mke kama Mama yako, amenisaidia sana".
Ili kupata takwimu halisi ni wanaume bila kutaka sifa tuanike uhalisia wa nafasi ya mwanamke katika mafanikio yetu na sio kuchukua takwimu za kesi.Ndio maana kuna kitu kinaitwa takwimu. Badala ya kuangalia kesi moja moja angalia picha nzima kwenye jamii kupitia takwimu. Pita uko ustawi wa jamii na mahakamani uone hitimisho la kesi za mahusiano huwa linamuumiza nani kati ya mwanaume na mwanamke.
Msaada wa mwanamke sio unconditional.
-inawezekana anakusaidia kwa sababu unamjulia kwenye mambo ya kitandani
-inawezekana anakusaidia kwa sababu hana chaguo jingine(sio pisi kali)
-inawezekana anafanya uwekezaji kwako akiwa na matarajio atapata faida hapo badae.
Mwanaume jua ya kwamba unapomtongoza mwanamke mpaka anakukubalia tayari ashafanya short terms and long terms calculations na kujua atanufaika vipi na wewe.
Whoever created that aphorism didn't have any regards with future uncertainties that will cripple our society in... He/she was actually thinking within the matrix.And that is some major plot twist, which was obviously never intended nor envisaged by the original producer!
To be behind something or someone's fortune is to be its mastermind.
Hatubishani ila tunaelekezana. Muda ni mwalimu mzuri, muwezeshe uyo mwanamke ulie nae.And vice versa is true.
Wewe usipowaweka hao waliofanikiwa sababu ya mwanamke basi na wenyewe hawatakuweka wewe ambaye hujawanikiwa.