Nyuki wema, nyuki wabaya!

Mi mwenyewe najifunza uwanga... wakija tutawangiana (hahahaha natania)
Nilijaribu kila njia wanarudi tena, sasa hivi nmewaacha tu.
They are at their free will.. Hawa commandiwi
 
Siku wakiingilia msafara wa KAKA YAKE MAMA, na kuanza kumng'ata Nitafurahi sana

Hii tiba ya chumvi ungeweka na madhara ya kutumia ingependeza zaidi

Maana mi naona nikitumia napata misuko suko flani hivi sa hivi nimeamua kuacha
 
Mmh ndio mara ya kwanza kusikia kuwa inaleta misukosuko.... Hebu tumia kwa wiki nzima homa kali lazima ikuendeshe ukianza kutumia dawa
 
Kweli tena mkuu,

Yaani nikakumbwa na balaa la kuibiwa simu

Mara nizinguane na viongozi kazini

Mara nigombane na wife mtarajiwa

Yaani ni fujo mtindo mmoja, anyway kesho ntaanza tena
 
That is healing process... Baada ya hapo mambo yangetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…