Nyuki wana faida sana kwa binadamu hasa kiafya na kiuchumi pia.
Asali na Nta ni moja ya mazao maarufu ya nyuki yanayosaidia katika afya na kujenga uhumi wa mfugaji nyuki au muuzaji wa mazao ya nyuki.
Hivyo nafsi zubavu.
Kilimo cha nyuki kina faida sana, kinasaidia kuimarisha na kuongeza mazao kwa kusaidia katika kuchavusha na kurutubisha mbegu za mimea yaani pollination, na kingine kufuga kwa ajili ya asali, nta, maziwa ya nyuki, gundi ya nyuki ama mkate wa nyuki bila kusahau sumu ya nyuki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.