Nyuki kuingia ndani.

Kwan wew unafikiri hili jina ndo analo ndugu Yako TU huyo unayemfikiria au..Hata Sijui unazungumza nn..Haya majina ni ya ukoo na wako wengi Sasa cjui wew umemkariri nani?
πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Yaani nyuki wababe sana.leo kwenye juisi ya miwa nimenunua kwa hela yangu nanyanyua glasi ananichoma sindano.wakati yeye anachukua bure.
 
Kwa kitendo Cha mara kwanza Niliingiwa na hofu..Kwahy ilinibid niombe maan nilishawah hudhuria msiba wa mtu aliyeshambuliwa na nyuki..Kwahy nilijikabidhi kwa Mungu kwanza kabla mengine hayajatokea..Maan majirani walivyokuja kila mtu alikuwa anaongea lake..Lkn sikuwa za mbali khvy..Ila nilipopata simu kutoka kwa jirani anayefanya Kazi Maliasili alisema kuwa kipindi Cha joto nyuki huwa wanahama..Kwahy wakiona wamechoka wanapumzika kwa muda..Kwahy nasema ukweli sikuwa za mabaya..Ila c unajua binadamu walivyo na tafsiri..Ni hvy tu
 
Riwaya yako ni nzuri..😁
 
Waliwapulizia dawa Ila nafsi ilikuwa inauma kwa kweli..Sikuwa na budi kwa maan ndo chumbani nalala..
 
Hapo mkuu kiroho kuna mambo mawili yapo mbele yako SHEREHE au MSIBA funga muombe mungu sana ,kama ni wa kawaida mshukuru Mungu.
Yalinikuta mimi!!

Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
 
Nyuki wakikuingilia ndani unapaswa kufanya nini? Tuelimishane wakuu.

Pia kuwaua ulikuwa ni ukatili sana, nini kilipaswa kifanyike?
Ukweli ni ukatili Ila kwa kuwa ni kitendo ambacho ndo mara kwanza na nyumbn hapakuwa na mwanaume muda huo ilibid niombe msaada kwa majirani watu wazima ndo wakafany Hilo suluhisho..
 
Acha usanii wewe!!, Kwaiyo hapo sasa inaendea ujiite nabii, wakristo mna tabu!
Sijajiita nabii..Na Wala Sina Hio karama..Mungu anaombwa wakati wowote cvyo..Halijakutokea thus y unaongea hvy..Acha kukashifu Imani za watu..
 
Jf imekua na members wa hovyo sijawahi kuona

Forcing people to believe in these miujiza, mauchawi and impossible stuff

It seems
Like we have many members with schizophrenia humu ndani
 
Hapo mkuu kiroho kuna mambo mawili yapo mbele yako SHEREHE au MSIBA funga muombe mungu sana ,kama ni wa kawaida mshukuru Mungu.
Yalinikuta mimi!!

Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
si kweli, mimi walikuja juu ya net wakakaa masaa kadhaa tena nikiwa mgonjwa lakini sikuona chochote katika uloyataja.
 
Hapo mkuu kiroho kuna mambo mawili yapo mbele yako SHEREHE au MSIBA funga muombe mungu sana ,kama ni wa kawaida mshukuru Mungu.
Yalinikuta mimi!!

Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
Sasa utajuaje kama ni WA kawaida!Ila hakuna mtu ndani Kwangu aliyeng'atwa..Hata mm niliyeingia chumbn Kwangu ambapo ndipo walipoweka makazi sikudhurika.. Mwenyezi Mungu ndo muweza ya yote..Atuepushe na shari
 
Walikuletea asali na hakuna mtu waliyemg'ata!!!
Waliweka makao kabisa, kwa muda mrefu wakawa wanang'ata ukipita vibaya, badae tuliwafurusha, tukachota na asali ila naona wamerudi tena

Na tuko katikati ya mji sio kijijini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…