Ni mambo ya kiroho nyota ya mtu inaweza kuchafuliwa au kuchukuliwa na kutumiwa kwa faida ya mtu mwingine na mhanga mambo yake yakawa yanakwama sana lakini hilo la kuuziwa Toyota halijakaa vizuri nadhani si kweli ni kumtisha tu ili waendelee kula sadaka zakeHizi thimgs znaukweli.. Kiiman zaidi zipo
Carpe diem.....[emoji187]
Hizi hesabu ngumu sana aisee,Habari wana Jamvi, naombeni msaada kwa wale wanaojua mambo ya nyota.
Nna rafiki yangu ameanza kusali kanisa fulani maarufu hapa mjini, alipoenda kanisani mchungaji akamuombea akamwambia kuna ndugu zake wamechukua nyota yake na kuiuza Kampuni ya TOYOTA Japani. Yani amechanganyikiwa anahisi toyota wanauza magari kwa nyota yake. Eti hiii uongo f kitu inawezekana kweli? Mi naona kama ni uongo fulani wa kumfanya aende kanisa hilo daily....je inawezekana kwa nyota ya mtu kuuzwa? Tena kwa kampuni kubwa ivo kutoka kwa mtanzania wa kawaida hajulikani hata mtaani kwao?
Mnaojua habari za nyota tafadhali nisaidieni kulifumbua hil.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mambo ya kiroho nyota ya mtu inaweza kuchafuliwa au kuchukuliwa na kutumiwa kwa faida ya mtu mwingine na mhanga mambo yake yakawa yanakwama sana lakini hilo la kuuziwa Toyota halijakaa vizuri nadhani si kweli ni kumtisha tu ili waendelee kula sadaka zake
Naomba tucheke wote shoo hahahaah[emoji13] [emoji13] [emoji13]ha ha ha
ha hahahaha eti toyota hapaaa mbakaNaomba tucheke wote shoo hahahaah[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Meno yote nje, Hahahahahaaaaa.ha ha ha
ya mbele tuMeno yote nje, Hahahahahaaaaa.
Nakupitia twende poaya mbele tu