Nyota ya Magufuli, Muhongo ni zaidi

Nyota ya Magufuli, Muhongo ni zaidi

Muhongo? He's academician sio mwanasiasa....Magufuli amekuwa blinded na ambitions ila mwanzoni alikuwa jembe....
Magufuli ni alikuwa jembe na ni jembe hadi sasa hivi. Angalia jinsi alivyotekeleza ilani ya chama cha mapinduzi.
 
Magufuli ni alikuwa jembe na ni jembe hadi sasa hivi. Angalia jinsi alivyotekeleza ilani ya chama cha mapinduzi.

Familia yangu ni moja ya wanufaika wa maamuzi mabovu ya magufuli wakati alipouza nyumba za serikali....nyumba yenyewe ipo prime area na sasa kuna idara ya serikali tunampango wa kuwakodishia kwa kodi mara 10 ya tuliyokuwa tunawalipa kabla hatujauziwa...Inawezekana nawe ukamwona jembe kwa kuwa ni mnufaika kwa namna moja ama nyingine ya maamuzi yake ya 'kijembe jembe'
 
Back
Top Bottom