Nyota wa filamu za James Bond, Sir Sean Connery afariki dunia

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Sir Sean Connery (90) aliyekuwa muigizaji wa kwanza kuvaa uhusika wa James Bond, na kuigiza katika filamu hizo saba amefariki dunia leo

Mwanaye, Jason Connery amesema Baba yake hakuwa mzima kwa muda sasa na amefariki kwa amani akiwa usingizini nchini Bahamas

Filamu nyingine za Muigizaji huyo raia wa Scotland ni pamoja na The Hunt for Red October, Highlander, Indiana Jones and the Last Crusade na The Rock

1604152841690.png


1604152338399.png


====

Sir Sean Connery has died at the age of 90, his family has said.

The Scottish actor was best known for his portrayal of James Bond, being the first to bring the role to the big screen and appearing in seven of the spy thrillers.

Sir Sean died peacefully in his sleep, while in the Bahamas, having been "unwell for some time", his son said.

His acting career spanned five decades and he won an Oscar in 1988 for his role in The Untouchables.

Sir Sean's other films included The Hunt for Red October, Highlander, Indiana Jones and the Last Crusade and The Rock.

Jason Connery said his father "had many of his family who could be in the Bahamas around him" when he died overnight in Nassau.

He said: "We are all working at understanding this huge event as it only happened so recently, even though my dad has been unwell for some time.

"A sad day for all who knew and loved my dad and a sad loss for all people around the world who enjoyed the wonderful gift he had as an actor."

'The original Bond'

Sir Sean, from Fountainbridge in Edinburgh, first played James Bond in Dr No in 1962 and went on to appear in five other official films - and the unofficial Never Say Never Again in 1983.

He was largely regarded as being the best actor to have played 007 in the long-running franchise, often being named as such in polls.

He was knighted by the Queen at Holyrood Palace in 2000. In August, he celebrated his 90th birthday.

Bond producers Michael G Wilson and Barbara Broccoli said they were "devastated by the news".


They said: "He was and shall always be remembered as the original James Bond whose indelible entrance into cinema history began when he announced those unforgettable words 'the name's Bond... James Bond'.

"He revolutionised the world with his gritty and witty portrayal of the sexy and charismatic secret agent. He is undoubtedly largely responsible for the success of the film series and we shall be forever grateful to him."

Sir Sean was a long-time supporter of Scottish independence, saying in interviews in the run-up to the 2014 referendum that he might return from his Bahamas home to live in Scotland if it voted to break away from the rest of the UK.

Scotland's First Minister Nicola Sturgeon said: "I was heartbroken to learn this morning of the passing of Sir Sean Connery. Our nation today mourns one of her best loved sons.

"Sean was born into a working class Edinburgh family and through talent and sheer hard work, became an international film icon and one of the world's most accomplished actors. Sean will be remembered best as James Bond - the classic 007 - but his roles were many and varied.

"He was a global legend but, first and foremost, a patriotic and proud Scot - his towering presence at the opening of the Scottish Parliament in 1999 showed his love for the country of his birth. Sean was a lifelong advocate of an independent Scotland and those of us who share that belief owe him a great debt of gratitude."
 
James Bond ni mhusika wa kifikirika katika riwaya za jamaa mmoja aliyeitwa Ian Fleming. Ni kama vile tu sisi hapa bongo tutengeneze filamu yenye kubeba uhusika wa mzee lomolomo wa kwenye riwaya ya watoto wa mama ntilie.
Afu hicho ndio kitu kinachonichanganyaga sana, nikisearch James Bond naona picha za Daniel Craig kumbe ni iko hivyo.

Mimi sifahamu sana movies za James Bond ila nataka kujua uhusika wa James Bond umevaliwa na watu gani/wangapi kama zipo movie tofauti tofauti za James Bond
 
Sean Connery ndio muigizaji wa kwanza kuigiza kama James Bond na filamu yake ya kwanza ni DR.NO iliyoigizwa mwaka 1962.
Filamu zake nyingine ni From Russia with love,Goldfinger na Diamonds are Forever.

George Lazenby alikuwa muigizaji wa pili kama James Bond ila yeye aliigiza filamu moja tu ambayo ni On Her Majesty's Secret Service ya mwaka 1969.

Wa tatu kuigiza kama James Bond ni Roger More.
Na baadhi ya filamu zake ni The Man With The Golden Gun,Moonraker,A View to a Kill na Octopussy.

Timothy Dalton alifuata na The Living Daylights ya mwaka 1987 na Licence to Kill ya 1989.

Wa tano ni Pierce Brosnan.Utamuona kenye hizi filamu akiigiza kama James Bond;
Goldeneye.
Die Another Day.
Tomorrow Never Dies.
The World is not Enough.

Daniel Craig ni James Bond wa sita.
Casino Royale na Spectre ndio filamu zake ninazozifahamu.


images.jpg
images%20(6).jpg
images%20(2).jpg
images%20(4).jpg
images%20(3).jpg
images%20(5).jpg
 
Afu hicho ndio kitu kinachonichanganyaga sana, nikisearch James Bond naona picha za Daniel Craig kumbe ni iko hivyo.

Mimi sifahamu sana movies za James Bond ila nataka kujua uhusika wa James Bond umevaliwa na watu gani/wangapi kama zipo movie tofauti tofauti za James Bond
Mkuu cheki hapo juu nimeelezea natumaini utapata kitu kidogo.
 
Goldfinger, The man with a golden gun, Octopus, Moonraker... Hizi alicheza Roger Moore. Nazipenda sana aiseee... Rest well the legend
Hapana. Goldfinger amecheza Sean Connery, hizo zingine ulizotaja ndiyo amecheza Roger Moore
 
Afu hicho ndio kitu kinachonichanganyaga sana, nikisearch James Bond naona picha za Daniel Craig kumbe ni iko hivyo.

Mimi sifahamu sana movies za James Bond ila nataka kujua uhusika wa James Bond umevaliwa na watu gani/wangapi kama zipo movie tofauti tofauti za James Bond
NI wengi. Baada ya Sean Connery alifuata Roger Moore, kuna wengine pia kama akina Timothy Dalton na hao akina Daniel Craig. Wapo wengi waliofuata majina mengine siyakumbuki
 
Back
Top Bottom