Nyota wa filamu za James Bond, Sir Sean Connery afariki dunia

Sean Connery ndio muigizaji wa kwanza kuigiza kama James Bond na filamu yake ya kwanza ni DR.NO iliyoigizwa mwaka 1962.
Filamu zake nyingine ni From Russia with love,Goldfinger na Diamonds are Forever.

George Lazenby alikuwa muigizaji wa pili kama James Bond ila yeye aliigiza filamu moja tu ambayo ni On Her Majesty's Secret Service ya mwaka 1969.

Wa tatu kuigiza kama James Bond ni Roger More.
Na baadhi ya filamu zake ni The Man With The Golden Gun,Moonraker,A View to a Kill na Octopussy.

Timothy Dalton alifuata na The Living Daylights ya mwaka 1987 na Licence to Kill ya 1989.

Wa tano ni Pierce Brosnan.Utamuona kenye hizi filamu akiigiza kama James Bond;
Goldeneye.
Die Another Day.
Tomorrow Never Dies.
The World is not Enough.

Daniel Craig ni James Bond wa sita.
Casino Royale na Spectre ndio filamu zake ninazozifahamu.

View attachment 1634322View attachment 1634323View attachment 1634324View attachment 1634325View attachment 1634326View attachment 1634327
"Martins shaken not stirred" :cool: :cool:
 
Sasa kati ya hao nani aliyefariki?
 
Sasa kati ya hao nani aliyefariki?
Sean Connery.
images.jpg
 
Kwa Roger Moore bila kuitaja filamu yake ya Live and let die unakuwa hujamtendea haki.

Vipi na wale bibi na babu Q and M wako hai? Na majina yao halisi wanaitwaje?
 
Ni kweli kabisa mkuu,Live and Let die ni bonge moja la filamu.
Kuhusiana na Q na M hii nafasi imeigizwa na watu wengi pia.
Bibi Judi Denchi ndio M aliyenivutia zaidi.
Kwa Q nilimkubali sana mzee akiitwa Desmond Llewelyn.
Kwenye movie alizocheza Pierce Brosnan ndio utawaona hawa wazee wawili wakiigiza kama Q an M kwa pamoja.
Bibi Judi bado yu hai ila mzee Desmond alishafariki.

Ooooh grow up 007!!.
unnamed.jpg
unnamed%20(1).jpg
 
Back
Top Bottom