babulakibaha
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 287
- 325
Habari Wakuu. Nini chanzo cha nyongo kujaa kwenye tumbo na kusababisha chakula kisisagwe vizuri, kisha unaharisha na kucheua harufu ya ajabu. Naomba ufafanuzi wa kitaalum ikiwezekana tiba. Wasalaam.