Nyongeza ya Mshahara

Nyongeza ya Mshahara

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Posts
1,653
Reaction score
605
Habari bandugu
Kwa wafanyakazi wa serikali au mwenye uelewa wa sheria mnisaidie.Katika ranks za taasisi na mashirika tumezoea kuwa na level za uongozi kama Junior Officers ,Officers,Senior Officers na Principals Officers.Kila level yaweza kuwa na ngazi mbali Mfano Senior Officer 6,5,4,3,2 mpaka 1 ambayo ndiyo ya juu au wengine Wanfanya kinyume chake.Sasa nahitaji kujua kwa Maofisa walio level ya juu (wanaita Bar) kuna sheria inayokataza watu hawa kupata nyongeza ya Mshahara ?
 
muulize JIWE
 
Mh. Anajenga nchi kwanza kuwa mvumiliv, akiamua kuongeza ataongeza kwa wote.
 
Kama hujui kitu usijibu kitu! Hii nidhamu watu weusi hatuna kabisa na ndiyo ujinga wetu. Mleta mada anauliza jambo nyeti kabisa, badala ya kutumia muda, bundle lako na keyboards zenu vizuri. Unaweza ona upuuzi wa mtu mweusi kwa majibu mafupi yasiyokuwa na uelewa hapo juu. Mungu tusaidie!
 
Back
Top Bottom