Elifuraha Bussism
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 210
- 127
Walikupa mimba wakaikataa?Wasukuma bwana hovyoooo!na hicho kimaswa chako chenye utajiri wa mbwa koko kuliko kuku!
Hakuna kitu hicho au ni kwa wachache mbona wengine hamna nyongeza yoyote kwenye akaunti yangu NMB, KAMA UMEONGEZEWA WEKA USHAHIDI HAPATGTS B TSH 10,000 TGTS C TSH 13,000 TGTS D TSH 17,000 TGTS E TSH 19,POP TGTS F TSH 33,000 TGTS G TSH 38,000 TGTS H TSH 60,000 NA TGTS I TSH 120,000 ndo icriments zenyewe zilizopo kwenye payroll
Nyongeza ipo mkuu.Hakuna kitu hicho au ni kwa wachache mbona wengine hamna nyongeza yoyote kwenye akaunti yangu NMB, KAMA UMEONGEZEWA WEKA USHAHIDI HAPA
kuna salary scale limit ambayo pakiwepo na nyongeza haiwezi kuongezwa ahhh sema kingine ila sio salary scale limitNyongeza ipo mkuu.
Siwezi kuweka hapa taarifa zangu binafsi ila niamini nyongeza ipo ila ndogo mno.
Kama hujaongezewa inamaana wewe mshahara wako umefikia limit yake kwenye salary scale uliyopo.
Ligi siwezi mkuu nimekwambia nyongeza nimeiona ila pesa ndogo around 10,000(mimi binafsi).kuna salary scale limit ambayo pakiwepo na nyongeza haiwezi kuongezwa ahhh sema kingine ila sio salary scale limit
Mkuu ipo usibishekuna salary scale limit ambayo pakiwepo na nyongeza haiwezi kuongezwa ahhh sema kingine ila sio salary scale limit
Kinachoongezwa ni basic salary hapo huwezi kuingelea bar. Increment ndio Ina kikomokuna salary scale limit ambayo pakiwepo na nyongeza haiwezi kuongezwa ahhh sema kingine ila sio salary scale limit