Nyongeza ya mishahara

Nyongeza ni danganya toto ni afadhali wasingeongeza chochote. Serikali ya Kisanii. Na ilaaniwe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! JK achia ngazi mzee wa visasi!!!!!!!!!!!!

Huyu mama katugombanisha na ndugu na jamaa,wote wanaamini mishahara ipo juu more than 40% kumbe hajaongeza kitu..jamani yaani hili ni balaa.

tatizo sisi WATANZAGIZA tunapenda udaku udaku na we dont read vizuri! sio kwamba mishahara imeongezeka by 40% A BIG NO! but the "SALARY BUDGET HAS INCREASED BY 40%"! na hiyo inaweza kutokea iwapo kuna waajiriwa wameongezeka au watu wamepandishwa vyeo na mishahara, so mimi nazani magazeti yetu hususani yale ya udaku udaku yalipotosha umma au ss waTanzaGiza tulikua hatujaelewa vizuri hili jambo....
Wangekua wameongeza by 40% ungeckia Nape, Pinda, mukama, m.k.were n.k wanapita TZ nzima kusifia mafanikio kaka!

Okondoo wetu unatuponza. Tukubali kufa kama misri, Libya etc wanavyokufa for the better future of the generation to come. Huwezi kumwongezea mfanyakazi elfu 2,000 Tsh, it is a mockery

Msiwe na tabia ya kupenda fedha; muwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema,sitakupungukia kamwe, wala sitakuacha. (Soma Waebrania 13:5)

wewe acha unafiki wa imani hapa mmezoeza kura vya bure na magamba wako.

Du pole sana, kaka sidhani kama kuna imani inayoruhusu mwanadam kumlaani mwanadam mwenzie. kwani mkuu wewe umeongezewa kiasi gani

Nimeongezewa 2,100 Tsh tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nimesikia nyepesi nyepesi kuwa mshahara mpya utaanza mwezi August na siyo July kama ilivyozoeleka!

Si kweli circular imetoka na mishahara mipya tumeona kwenye salary slip, ni matusi!!!! Hizo ni porojo za kuwapoza wafanyakazi waweze ku-absorb shock contrary to their expectation promised

Let it not be 40%, we have no problem with that amount, but we did not expect a rise of 2,100 Ths!!!!!!!!!!!( I am not sure what percent is this). Huwezi kumwongezea mtu shilingi 2,100, 5300,Tsh eti umeongeza mishahara!!

imefikia wakati wafanyakazi tuwe na msimamo wa pamoja,tatizo jamaa huwa wanawagawa wafanyakazi kitu kingine umoja kwa wafanyakazi hakuna ,laiti tungekuwa na umoja tungefanikiwa ukondoo umezidi sana tunashindwa kusimama paoja kudai haki zetu,mfano walimu wakisimama pamoja secta zingine haziwaungi mkono,madaktari wakiungana wengine hawaungani,hapa tunatakiwa tuwe na chama cha wafanyakazi chenye umoja na nguvu viongozi wake wasiwe na tamaa ya pesa

Mgaya kagwaya amekuwa zezeta siku hizi wafanyakazi wanateseka yeye anakula rahaaaa na m.mkere

ulaniwe Mgaya unaniwe Hawa Ghasia

VIGOGO WA CCM WAPEWA FADHILA YA VIWANJA GEZA ULOLE-kigamboni

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wakisema tugome watu wanawaona ni wachochezi tu na kuwaacha wakipambana peke yao matokeo yake ndio haya!

Mtalalamika sana kwenye keyboard lakini msipochukua hatua za kumtoa kwa nguvu ya umma itaendelea kula kwenu milele na milele!

Una akili wewe ! natamani kukufahamu tulianzishe!

ninavyojua mimi ni kwamba ridhiwan kikwete ndiye aliyepewa tenda ya kusafirisha mchanga wa madini wa migodi ya barrick hadi bandarini,tena wanatumiaga bandari ya mombasa,..

Bora ninyi kama mmeshaiona mie mwenzenu mwezi huu hakuna kitu!

So kwa mantiki hiyo waziri hakutangaza ongezeko la mshahara wa kima cha chini sio?.....

kwa hiyo tuweke tifu la mitaani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…