Nyongeza ya mishahara 2015

Nyongeza ya mishahara 2015

Serikali yenu sikivu imewaongezea kati ya elfu 30 hadi 50. nimetumia uzoefu wangu wa miaka kumi katika utumish
 
kwa nchi makini na kiongozi makini huwa haongezi mshahara bali hupambana kupunguza mfumuko wa bei, kunakuwa hakuna maana kuongezewa mshahara huku vitu vinapanda bei, chukulia mfano unalipwa 400,000 sasa hivi lakini pesa hiyo inauwezo wa kununua 200kg za sukari kwa sasa, lakini mtu anakuongezea laki na kuwa 500,000 halafu sukari inapanda na kuuzwa 3000 kwa kilo kwa maana hiyo utapata 166 kg na siyo 200 kg tena, na mtu huyo ataenda akijitapa mshahara umepanda bila kujua yeye ndiyo kaibiwa, nchi kama zambia ukipandisha mkate wanaandamana bei ishushwe hawaandamani waongezewe mshahara, watanzania inabidi tuanze tuwe tudai kupunguzwa kwa mfumuko wa bei iwe kwamba kama sasa ninalipwa 400,000 napata kilo 200 za sukari basi niombe serikali ipunguze bei ya sukari kwa kupunguza kodi kukipunguzia kiwanda gharama za uzalishaji ili sukari iuzwe 1500 kwa kilo kwa maana ile 400,000 niliyo kuwa napata kilo 200 sasa nitapata 266 kg kwa maana hiyo laki nne itakidhi mahitaji

kweli mkuu!,hapo umenena sawasawa.
 
Unashangaa.. wakati watu wamejenga Gorofa na kununua Vogue na huo mshahara ndani ya miaka mitano...
Hapo ndo uone miujiza ya Musa kuvuka juu ya Bahari..

Duh!,wanawezaje mkuu?au ndo mafisadi wadogo?,Hebu tupe maujanja hayo.
 
Back
Top Bottom