menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 672
Dah Umewaza Kitu Cha Muhimu KweliHivi kuna vyoo vya kisasa hapo kweli?
Makonda alibuni nini?Kuna Mwingine Ameripoti Nyomi Kivukoni...Ferry kuwa Ilikuwa Balaa..
Nafikiri tushakuwa Wengi Dar na Sehemu Za Ku refresh ni Chache..!
Kipindi Cha Nyuma ...Makonda Alikuwa Mbunifu...Sasa Zamu Ya Mzee Makalla Sijui Atabuni nini Kuhusu Suala hili?
Serikali imekufanyaje na wewe..?Acha watu wafurahi
Serikali yenyewe ndio hii…
Bashite aliwahi buni kipi?!Kuna Mwingine Ameripoti Nyomi Kivukoni...Ferry kuwa Ilikuwa Balaa..
Nafikiri tushakuwa Wengi Dar na Sehemu Za Ku refresh ni Chache..!
Kipindi Cha Nyuma ...Makonda Alikuwa Mbunifu...Sasa Zamu Ya Mzee Makalla Sijui Atabuni nini Kuhusu Suala hili?
Mkuu umesema jambo zuri sana,, kwenye nyomi Kama hio Kuna starehe gani tena Hapo zaidi yakuibiana tu manake mapanyaroad ndo wamechanganyikana humo humo mida yakusepa watu ndo huisoma namba...Hii ni coment ya yangu nimecomment kwenye uzi mwingine kama huu naipaste hapa.
Wengi wenye umri mdogo humu hamuwezi kujuwa lakini nawakikishia hili ni tatizo la ccm kuuza au kupora viwanja vya wazi.
Zamani hakukuwa na uzuraraji wa kiholela nje ya wilaya zenu na tarafa zenu palikuwa panajengwa mabanda (Circus) basi hapo burudani zote hupatikana, ngongoti, korokoro, muziki theater groups and likes ali mradi ni burudani tupu, watoto kwa wakubwa hakika walifurahi sana, na kulikuwa na mzunguko mkubwa wa pesa kwa biashara zote za vinywaji na vitafunwa, yani ilikuwa Disney land fulani.
Kuna kina sisi wengine tuliokuwa wapenzi wa sinema tulikwenda kuangalia movie Avalon cinema, Empire, New chocks, Odeon, Cameo, Drive in and so on,
Kwa mfano viwanja vya mnazi mmoja, buguruni chama, Temeke kata ya 14, kiwalani kata ya kipawa, mwenge, hizi sehemu kwa uchache zilikuwa na circus zao kama Disney land fulani hivi, lakini kwakuwa kuna kundi la walafi ccm wakateka nyala haya maeneo ya wazi either kujimilikisha au kuyauza na hatimaye huu utamaduni ukayeyuka jumla jijini Dar.
Ni hatari sana siku za sikukuu kundi moja kubwa lote kuelekea out sehemu moja kwa kukosekana public area za community kukutana.
Kwa tuliofuta matongotongo na kutembea nchi zenye viongozi wenye akili na maono kila kata ina community center hall na park tena saa nyingine park zaidi ya moja, wakati Dar hiyo paki iliyobaki ya mnazi mmoja na bado inafungwa, very fun aisee.
Inshort tatizo siyo waislamu, tatizo ni ccm.
Halafu kingine zamani siku za sikukuu ndio zilikuwa ndugu na familia kutembeleana na ndugu kujuwana lakini umaskini umeondowa upendo na sasa tunaishi kama manyani tu, hata mpenzi wako anakugeuza wewe ndio source of income na siyo tulizo la moyo tena
Wakati wa sikukuu miaka hiyo ya nyuma Dar hakukuwa na shida ya usafiri ingawa familia nyingi hazikuwa na magari kwa sababu watu wengi walikuwa na sehemu za kusheherekea sikukuu maeneo yao hukohuko.Mkuu umesema jambo zuri sana,, kwenye nyomi Kama hio Kuna starehe gani tena Hapo zaidi yakuibiana tu manake mapanyaroad ndo wamechanganyikana humo humo mida yakusepa watu ndo huisoma namba...
Unakumbuka watu walikua wanatoka maeneo mbalimbali ya jiji, kwenda ndege bichi, na daladala za kukodi, huku zikepeperusha bendera za nchi mbalimbali hasa za nchi zilizoendelea.Wakati wa sikukuu miaka hiyo ya nyuma Dar hakukuwa na shida ya usafiri ingawa familia nyingi hazikuwa na magari kwa sababu watu wengi walikuwa na sehemu za kusheherekea sikukuu maeneo yao hukohuko.
Tuliokuwa tunapenda kutoka tulitumia usafiri huu wa usafiri Dar Uda.
Hiyo ni Icarus kumbakumba.
View attachment 2211893