Nyomi ikielekea leaders

Nyomi ikielekea leaders

Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
377
Reaction score
226
Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk.
RIP KANUMBA
 
Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk.
RIP KANUMBA

kweli mdau,me nipo pande za hapa mkwajuni,kuna folen ya ajabu na nauli zimeshapanda,jam inaanzia magomen,gari za posta znapita kawawa leo
 
Mungu ailaze Roho ya marehemu Kanumba mahali pema peponi Amina !
 
Back
Top Bottom