Mwana kinyonga JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 377 Reaction score 227 Apr 10, 2012 #1 Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk. RIP KANUMBA
Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk. RIP KANUMBA
Primitive JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 222 Reaction score 45 Apr 10, 2012 #2 Wewe uhendi!??
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Apr 10, 2012 #3 Tumia Visual aids!...kuongea bila vielelezo wakati unaweza kufanya hivyo hata kwa hiyo simu ya Techno ni kama unampigia mbuzi gitaa!
Tumia Visual aids!...kuongea bila vielelezo wakati unaweza kufanya hivyo hata kwa hiyo simu ya Techno ni kama unampigia mbuzi gitaa!
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,380 Reaction score 99,178 Apr 10, 2012 #4 Safiiiiiiii
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Apr 10, 2012 #5 Yaani huu umati ni mkubwa mno, sasa hapo patatosha kweli?
P Pure Mathematics Senior Member Joined Mar 8, 2012 Posts 174 Reaction score 52 Apr 10, 2012 #6 Weka picha