Nyoka wa ajabu

Sasa mkuu kuogopa kwako kutoka nje ya mwili haimaanishi kuwa hilo haliwezekani
Hiyo ni moja, pili hizo hadithi nyingine nimeshazisikia sana ila hazina ukweli wowote ule,
Asante sana Aqua kwa maelezo marefu yaliyojaa Imani
 
Time will tell baba Mchungaji.
Unajua fika vile navyopenda vitu vyenye uthibitisho hivyo usiwe na shaka kabisa.
 
kwe kwe kwe....
umenichekesha kwa jibu ulilompa katoa maelezo meeeengi....!!
kama kuota hata mimi nishaota sana mpk mda mwengine nikawa na hofu lkn there is no anything matter..
Ndio hivyo, mi nimeshaota hadi namiliki benki na mpaka leo hiyo ndoto haijatimia hivyo ndoto itabaki kuwa ndoto tu
 
Ndio hivyo, mi nimeshaota hadi namiliki benki na mpaka leo hiyo ndoto haijatimia hivyo ndoto itabaki kuwa ndoto tu
Tena ulivyogusia kunguru nimekumbuka nlishawahi kuota nipo hewani juu sana sasa nikawa nashuka chini kwa kasi sana mixer makalele,kwa bahati nzuri akaja kunguru chini ya miguu yangu akanibeba lkn ghafla akatokea mnyama mwengine sikuweza kumgundua ni mnyama gani alikuwa anataka kunidhuru,
kunguru ikabidi aniache apambane nae weeeee nilianza kushuka kwa kasi tena ile mbaya.
ile naanza kuona nyumba(mabati ya nyumba),miti n.k nakajua hapa naenda kudanja lkn ghafla kunguru alirudi tena akanibeba akanitua salama..
sina imani na haya mandoto kbs maana baadae nlipokuja kujijaji mwenyewe nikaoni ni kitu cha kawaida kabisa..
ndoto ni brain function.
 
Hata swali lako umelipost ukiwa ndotoni natumai ukiamka utajielewa kama wewe mtu au nyoka.
 
Uko sawa kabisa
 
ulikuwa nyoka dume au jike, je haukota unataga mayai? kinachoonekana kuna roho mbaya imekuvaa na una nia mbaya ya kuwadhuru watu wawili wasio na hatia ila unashindwa kwa sababu Mungu anawasaidia, emu tafakari vizuri na ubadilike kabla ya kuota tena unapondwa kichwani katika umbo lako la nyoka na kufa
 
ndio hivyo tu?
 
Lol
 
jimena: Inawezekana ulitakiwa ulishwe chakula kibovu, omba mung akusaidie kwa chochoto upatacho, kisiwe kibaya kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…