Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Mar 2, 2012 #1 {Mtoto wa nyoka}~Hivi mama sisi ni aina ya nyoka wenye sumu au hatuna?. {Mama nyoka}~Kwanini unaniuliza hivyo mwanangu?. {Mtoto wa nyoka}~Nimejing'ata ulimi wangu.
{Mtoto wa nyoka}~Hivi mama sisi ni aina ya nyoka wenye sumu au hatuna?. {Mama nyoka}~Kwanini unaniuliza hivyo mwanangu?. {Mtoto wa nyoka}~Nimejing'ata ulimi wangu.
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,276 Reaction score 6,596 Mar 2, 2012 #2 mbona cjaelewa au hujamalizia. aaaaaaaaaaaaaaah kumbe ume copy na ku paste.
jchofachogenda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 537 Reaction score 123 Mar 3, 2012 #3 Archmedes principal