Nyoka na fimbo kwenye Noti ya Tsh 500 ina Maana gani? BoT yatoa ufafanuzi

Hivi lakini haya manyoka kwenye noti yanafanya nini?
Mimi nilijua nyoka wa aina hiyo ni alama ya tiba kwa hiyo alitakiwa awe kwenye hospitali, sasa kwenye hela anatafuta nini? Au ndo umasonic?
 
Hayo ni mambo ya fremason stori ilisimuliwa kitambo .eti hela ziwe na mvuto.nguvu.au isishuke thamani
 
Hivi lakini haya manyoka kwenye noti yanafanya nini?
Mimi nilijua nyoka wa aina hiyo ni alama ya tiba kwa hiyo alitakiwa awe kwenye hospitali, sasa kwenye hela anatafuta nini? Au ndo umasonic?

Nchi inaongozwa na Wachawi,wanaboa sana.
 
he he he mambo ya freemanson kama kawa......kwann kila kitu tunasingizia free manson?
 
Kila nishikapo noti ya shilingi mia tano huwa nakutana na picha ya nyoka aliyejiviringisha kwenye fimbo. Kwa anayejua naomba anipe ufafanuzi japo kidogo, hivi mchoro ule unawakilisha nini?
 
nenda google! Kama unatafuta udaku nenda kwenya mihadhara ya kidini.
 
nadahani ile ni nembo ya tiba, sawa na iliyopo muhimbili na mahospital mengine.
 
nadahani ile ni nembo ya tiba, sawa na iliyopo muhimbili na mahospital mengine.
hiyo ni sahihi kabisa na asiliyake ni kwenye kitabu cha kutika baaada ya wana wa israeli jangwani kumuhasi Mungu kwa kujitengenezea masanami Mungu aliwapa adhabu ya kuumwana nyoka na baadaye Musa alimlilia Mungu na aliagizwa atengeneze nyoka wa shaba na kila aliyemuangalia alipona na tika hapo nyoka amekuwa alama ya tiba hadi leo.sasa kuna majaamaa ambayohudanganywa na vijigazeti na watu wasio fahamu kuwa kila alama ni free mason na kufananisha na alama hiyo kitu ambacho sii kweli
 
Babu wa loliondo ni freemasonry ndo maana aliagiza noti ya miatano. Asiyetaka kuamini shauri yake.
inamaana alikuwa akipewa za safaru,ie mia mbili 2 za coin na mia moja alikuwa hapokei?
jaribu kufikiri kabla hujasema
 
Wajenga huru wapo tena wengi tu.
Mara zote hawa watu wanatumia vitabu vya dini na, dini wanaijua.
Mtoa hoja usikute naye ni mjenga huru anataka kujua kama watu wanaufahamu juu ya hilo.
Kifupi watu hao wanatumia alama na ishara katika kumtukuza mungu wako.
 
Ni alama ya Tiba kijiti kilitumika kuondoa minyoo walio mwilini mwa binadamu zaidi ya hapo ntakudangantta
 
Back
Top Bottom