duuh hatari sanaSawa huyu nyoka ni mkali kweli na sumu yake inaua haraka mno hasa akikomaa huwa ni mkorofi na jeuri Fulani hivi, Ila kwa watoto wa kisukuma na waliozea maeneo ya Chaka huwa Hana ujanja huwa wanakata vifimbo vifupi hata hakatizi dakika kadhaa keshauliwa Ila kwa umakini mkubwa ukiloba hesabu tu umekwisha.
Lake ni pigo moja tuu..dakika ushabadilika rangiAisee inabidi uwe mzoefu na la sivyo hiyo fita ni ngumu
Zaidi ya hatariduuh hatari sana
Nimekulia porini mkuu nimechunga sanawewe una kaushuhuda chochote Mkuu?
Dawa yake chungu chenye pumba za motoTuliokulia Chaka tunaiita machine, ukisikia mashine hiyo looh Anza kusepa