Nyoka karibia wote wa Canada hawana sumu

Nyoka karibia wote wa Canada hawana sumu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,744
Reaction score
60,429
Hii Dunia kuna nchi zimejaliwa hasa kama Canada nchi ina amani, ina uchumi mkubwa imetunzwa na Mpaka nyoka wake hawana noma.

Nyoka wa Mashariki wa Massauga ndiye aina pekee ya nyoka wenye sumu wanaopatikana Ontario, Canada. Licha ya ukubwa wake mdogo wa sentimita 50-80 kwa urefu, kuumwa na nyoka huyu kunaweza kusababisha maumivu makubwa, uvimbe na uwekundu, kichefuchefu, na kizungu Zungu.

Ni kawaida kuwaona watu wakichezea nyoka huko Canada Mpaka watoto wanachezea nyoka.
 
Hii Dunia kuna nchi zimejaliwa hasa kama Canada nchi ina amani ina uchumi mkubwa imetunzwa na Mpaka nyoka wake hawana noma.
Nyoka wa Mashariki wa Massauga ndiye aina pekee ya nyoka wenye sumu wanaopatikana Ontario, canada. Licha ya ukubwa wake mdogo wa sentimita 50-80 kwa urefu, kuumwa na nyoka huyu kunaweza kusababisha maumivu makubwa, uvimbe na uwekundu, kichefuchefu, na kizungu Zungu.
Na ni nchi ya matukio ya watu kuawa halafu kesi zikapita bali kutatuliwa. Wana matukio ya mauaji kama ya japan ya jabu ajabu japo si mengi kihivyo ila yanakuwa ya ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom