SawaDiesel na nyoka ni mbali mbali mwaga kidogo kila chumba acha milango wazi atatoka mwenyewe hapendi kabisa hiyo harufu muda mwingine hata mafuta ya taa...msimtafute nyoka hovyo ukimkanyaga atagugonga na punguzeni vitu visivyo vya umuhimu ndani vinakua maficho ya wadudu..
Hasa viatu, vyombo na vinginevyo ambavyo havina umuhimuDiesel na nyoka ni mbali mbali mwaga kidogo kila chumba acha milango wazi atatoka mwenyewe hapendi kabisa hiyo harufu muda mwingine hata mafuta ya taa...msimtafute nyoka hovyo ukimkanyaga atagugonga na punguzeni vitu visivyo vya umuhimu ndani vinakua maficho ya wadudu..
Lakini nyoka anauaBadili jina kwanza, baharia gani anaogopa vitu vidogo hivyo? Linganisha mwili wako na ukubwa wa huyo nyoka, mwenye mwili mkubwa ndio anatakiwaa awe jasiri.
Hama tafuta nyumba nyingine hapo pabaki makumbusho ya majokaMsaada wakuu nyoka kaingia ndani kapotelea humo, tumetafuta sana hola
sasa kuingia ndani nashindwa naombeni msaada wenu nifanyaje