Nyoka-DStv

We coyyal utakuwa muongo! Maana hakuna hata mtu mmoja anayerudi kutoa feedback halafu hatuoni hata kama unawapa ushirikiano kny post zao za kukuomba maujanja. Isikute umetoka dstv unataka kutafiti kama mnapigwa nyoka.
 
Mkuu tafadhali ni-PM tucheke pamoja.

alpha1
 
Ni pm bhana nchi yenyewe washauza kilichobaki ni kujiongoza wenyewe...plz fanya mambo jembe wangu au ntumie hapa thomascosmas70@yahoo.com
 
Huyu jamaa asiwadanganye huwezi kupata dstv bure kila baada ya dakika code za dstv zinabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…